Njinsi ya kupika kiburu au uberere kwa kirombo
Vitu vinavyohitajika ni maharage , ndizi, chungu, maji na magadi.Kwanza unaloweka magadi na maji ili yatulie vizuri kwa ajili ya kupikia kiburu.Unachambua maharage yako vizuri ukimaliza unayaosha unayaweka kwenye chungu unahinjika jikoni unachocholea moto mpaka yatakapo karibia kuiva .Maharage ya kiburu hayatakiwi kuiva sana baada ya hapo unakuwa tayari ushamenya ndizi .Ndizi unazitia kwenye chungu iliziweze kuiviana na maharage unaweka magadi kiasi ili viweze kuchemkiana unakaa kama dakika kumi hivi unaweka chumvi na mafuta ya kupikia unasubiri mpaka yaiviana kwenye chakula unaepua.Unasonga chakula chako vizuri ili viweze kuchanganyikana mpaka kilainike unaweka maji unaendekea kukichanganya na hapo chakula kipo tayari kwa kuliwa

Comments
Post a Comment