Njinsi ya kupika kitawa.
Mahitaji ni ndizi, maziwa mtindi na magadi.Unamenya ndizi unazigawanya vipande vidogo vidogo unaziosha unaweka kwenye surufia unaweka maji kidogo na magadi kidogo unainjika jikoni unafinika zikishaiva unaepua na kuzisonga mpaka zilainike kabisa unaweka maziwa unaana ukupekecha na mpekecheo taratibu taratibu mpaka maziwa yajichanganye na ndizi na chakula chako kitakuwa tayari kwa kuliwa.Chakula hiki huliwa sana na wazazi

Comments
Post a Comment